SR Logo
Facebook Twitter instagram
DJ Mix Free-Beats Biography Lyrics
📚 Story Time    🎧 Artiste Career    📸 Movie Zone

Promote Your Music Today 

|

CATEGORY-: Music Lyrics
[Lyrics] Diamond Platnumz – Kamata (Lyrics)
Posted Byverified On  July 17th, 2021 Music Lyrics 0 1111 Views
Share On Social Media

diamond platnumz

LYRICS

Kamata, Kamata
Kamatika, kamata
Kamata, Kamata
Mpaka Chini, kamata

Kamata, Kamata
Kamatika, kamata
Kamata, Kamata
Mpaka Chini, kamata

Kamata kiuno, kamata bega
Kamata kichwa ka ndoo unabeba
Kamata kimini chalegalega
Wooh! Maana chashuka chini unanitega

Aah! Mah! Yaleo kiboko
Mwali kanipa nyama kwa kisamvu cha kopo
Ana komesha toto
Nami naleta nyundo nimtwange kokoto

Kamata, Kamata
Kamatika, kamata
Kamata, Kamata
Mpaka Chini, kamata

Kamata, Kamata
Kamatika, kamata
Kamata, Kamata
Mpaka Chini, kamata

Eeeh! Kama gari ile vuum! vuum! (Vuum! Vuum!)
Mtoto mkali mchum mchum (Mchum! Mchum!)
Ikiwa ngangali ile ngumu ngumu (Ngumu! Ngumu!)
Nenda kamchinjie mbali kwa room room

Sa Twende kamata
Kama unaisakata nyumba kwa bambata
Ile kinoma
Tegeta, Tabata fanya unaifatata
Za mbuzi kakataa, Amegoma Aaii!

Kati kati, Chini Chini, Kamata
Kasi Kasi, speed 120, Kamata
Eeeh! Kama unamenya ndizi, Kamata
Police anashika mwizi, Kamata

Aah! Mah! Yaleo kiboko
Mwali kanipa nyama kwa kisamvu cha kopo
Ana komesha toto
Nami naleta nyundo nimtwange kokoto

Nasema
Kamata, Kamata
Kamatika, kamata
Kamata, Kamata
Mpaka Chini, kamata

Kamata, Kamata
Kamatika, kamata
Kamata, Kamata
Mpaka Chini, kamata

Share On Social Media
Quick Navigations

Meet The Blogger

Jibloo verified
INCHARGE OF: Music Lyrics
🏅 Admin @ Soundreloaded.net
Click To View Post By
RECOMMENDED SONGS
No Comments Yet Drop Comment

Leave a Reply

NOTE-: Comment Will Appear After It Has Been Approved By Admin (Less Than 1Mins).

|

Soundreloaded Music Banner Advert